Featured

Tools needed before you start learning Website Design - Swahili Tutorial



Published
Video hii imeandaliwa ili kukufahamisha juu ya programu unazohitaji kuwa nazo kwenye Kompyuta yako ili kuanza kujifunza kutengeneza Tovuti (Website) Programu hizo ni
1. IDE (Integrated Development Environment) au Editor - Hii ni kwa ajili ya kukuwezesha kuedit code zako za Tovuti. Unaweza kudownload kupitia link hapo Chini
https://code.visualstudio.com/
2. Local Server - Hii ni kwa ajili ya kuhost Website yako kwenye Kompyuta yako Bila kuiweka Mtandaoni. Unaweza kuipata kupitia hiyo link hapo Chini https://www.apachefriends.org/download.html
Category
Web design
Be the first to comment